Habari za Mastaa

Alikiba, K2ga, Abdukiba na Tommy Flavour wametuletea wimbo ‘Ndombolo’

on

Ni Wakali kutokea lebo ya King Music Record  Alikiba, K2ga, Abdukiba na Tommy Flavour  ambapo time hii wametuletea wimbo mpya uitwao ‘Ndombolo, unaweza ukabonyeza play kuusikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipitia wasome mlichokiandika.

BABA LEVO “SIWEZI KUMTAKA NANDY, SIYO TYPE YANGU, AMENILIPA VIZURI”

Tupia Comments