Habari za Mastaa

Alikiba kaachia video mpya… goma linaitwa ‘mediocre’

on

Mwimbaji wa Bongofleva Alikiba ameendelea kutetea kiti chake cha ufalme leo kwa kuachia video ya goma jipya linaitwa ‘mediocre’ ambapo muda mfupi kabla ya kuachia video amesema “King huwa ni mmoja tu na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina maana yake” bonyeza play hapa chini kuitazama.

BELLA KAFUNGUKA MIJENGO MIWILI YA THAMANI ALIYOIJENGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments