Habari za Mastaa

Alikiba kafunguka vijembe alivyoimba kwenye wimbo wake mpya

on

Mwimbaji wa Bongofleva Alikiba leo amekaa kwenye Interview na XXL ya Clouds FM na kutambulisha ngoma yake mpya ya ‘mediocre’

Aliongelea pia kiti cha ufalme na kusema “King huwa ni mmoja tu na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina maana yake, kila mtu amejibrand na watu wamempokea vile walivyompokea, sio kila mtu anaweza kuwa King”

“Idea ya mediocre ilikuja kwenye mizuka ya studio, ilipigwa beat nikaona ngoja nijaribu kurap, na wakati huu kumekuwa na mambo mengi ambayo to me, naona they are so Mediocre” – Alikiba

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia akifunguka zaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments