Habari za Mastaa

VIDEO: Alikiba na Christian Bella walivyozindua video ya wimbo wao mpya

on

Usiku wa December 18, 2019 Msanii Alikiba na Christian Bella walifanya uzinduzi wa video ya wimbo  wao mpya walioupa jina la ‘Chaku’ na hii inakuwa ni kolabo yao ya pili baada ya kufanya ile ya kwanza walioifanya miaka mitatu iliyopita.

Baada ya uzinduzi huo Alikiba alizungumza na waandishi wa habari kuelezea ilivyokuwa mpaka wakafanya tena wimbo mpya na Christian Bella

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

ABDUKIBA KAFUNGUKA HARMONIZE SIYO TISHIO KWA ALIKIBA “NINA UWEZO ZAIDI YAKE”

Soma na hizi

Tupia Comments