AyoTV

VIDEO: Alikiba kafika South Africa.. mambo yake 7 mapya kutangazwa kwenye dili jipya

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa, dili hizo zitatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016, tazama hii video hapa chini

ULIKOSA KUTAZAMA SHOW YA ALIKIBA LIVE, ALIVYOWAITA JOKATE NA WEMA SEPETU PIA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments