Habari za Mastaa

Lupela ya Alikiba kwenye MTV BASE kwa mara ya kwanza kesho..

on

Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016 kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASE ambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo itazidi kuonekana nje ya mipaka ya Tanzania na kuzifikia nchi nyingine za Afrika kwenye mamilioni ya watazamaji wa MTV BASE.

Kupitia ukurasa wa Instagram MTV BASE walithibitisha nilichokuandikia hapo juu.

Screenshot_2016-03-08-21-57-33-1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments