Habari za Mastaa

“Aliniumiza sana, sitamani kurudiana naye” Mzazi mwenza na Hammer Q

on

Aliyekuwa mke wa ndoa wa Mwimbaji wataarabu wa siku nyingi Hammer Q aliywahi kutamba na wimbo kama ‘Pembe la Ng’ombe, ambaye pia walizaa naye mtoto kabla ya kutengana, amezungumza na AyoTV Entertainment kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake Pamoja na kubadilisha fani ya kuacha kuimba muziki wa raars u na kisha kuanza kuimba Bongofleva.

Bonyeza Play hapa chini kutazama Interview

UMEIPATA HII YA SHETTA..? AKITOKA KULIKOMBOA GARI LAKE NA KUFUNGUKA HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments