Top Stories

Mama wa mwanafunzi alieongoza kidato cha nne afichua siri “alikuwa mdadisi toka mtoto” (+video)

on

AyoTV na millardayo.com imefanya interview na Mama wa Binti Justina Gerald ambaye mwanae mwenye miaka 15 ndie mwanafunzi alieshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2020.

Ukiacha Mwanae kuwa wa kwanza kwa wasichana katika matokeo hayo, Justine ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

MWANAFUNZI WA KWANZA KIDATO CHA NNE NCHI NZIMA WASICHANA, MAGUMU ALIYOPITIA, NDOTO ZAKE

Soma na hizi

Tupia Comments