Michezo

Aliyekataa kumpa mkono Juma Mgunda kaadhibiwa na CECAFA

on

Michuano ya CECAFA Senior Challenge Cup 2019 inaendelea nchini Uganda lakini walati wa mchezo wa Tanzania bara dhidi Kenya Harambee Stars na Tanzania kupoteza 1-0.

Kufuatia vitendo vilivyooneshwa katika mchezo huo CECAFA imemfungia mechi mbili kocha mkuu wa Harambee Stars Francis Kimanzi kwa kutoonesha ushirikiano kwa waamuzi wakati wa mchezo dhidi ya Tanzania.

Kabla ya kuanza kwa mchezo Francis Kimanzi na msaidizi wake Zedekiah Otieno walionesha vitendo visivyokuwa vya kiungwana kwa kukataa kutoa ushirikiano na wasimamizi wa mchezo huo, kumtia fourth Official Mohamed Guedi katika vyumba vya kubadilishia nguo lakini Kimanzi pia aligoma kupeana mikono na kocha wa Tanzania bara Juma Mgunda.

Soma na hizi

Tupia Comments