Top Stories

Aliyekimbiwa na mkewe na kuachiwa watoto, afokeana na Mama mkwe (video+)

on

Kutoka Kijukuu cha Matipwili Mkoani Pwani, leo Septemba 9, 2021 tupo na mwendelezo wa stori ya Emmanuel Luziga, Baba wa Watoto watatu aliyekimbiwa na Mkewe (Winfrida) ambaye amezaa nae Watoto hao na wamedumu kwenye Ndoa kwa zaidi ya miaka 16 lakini kwa sasa Mkewe ametoweka nyumbani na kumuachia Watoto hao.

Emmanuel amepambana kumtafuta Mkewe kwa zaidi ya miezi miwili sasa bila mafanikio, amefukuzwa kazi na anakiri haijui kesho yake, kwenye maelezo yake alionesha kuwa na wasiwasi kuwa huenda Mama Mkwe wake anajua alipo Mkewe na tumeamua kuja nae Matipwili na kumkutanisha na Mama Mkwe wake.

Namba za Michael ni 0785- 979 788 au 0746 667 710 (Michael Emmanuel )

TAMASHA LA VYAKULA ZANZIBAR, RC AYOUB AFUNGUKA, WAVUVI 10,000 “HAIJAWAHI KUTOKEA DUNIANI”

Tupia Comments