Top Stories

Aliyoyasema Nyalandu baada ya kukutana na Wanafunzi wa Vyuo (+video)

on

Aliewahi kuwa Waziri wa maliasili na utalii ambae kwa sasa ni mwanachama wa chama cha Chadema akiwa Mwanza amekutana Wanafunzi wa vyuo vya Mwanza na kuwambia nia yake ya kuutaka urais pamoja na kuzindua tovuti yake itakayotumika toa taarifa zake za kugombea Urais.

BILIONIEA MPYA ONGEA NA RAIS, MAGUFULI ASHINDWA VUMILIA, “ONGEZA MKE MSUKUMA”

Soma na hizi

Tupia Comments