AyoTV

FULL VIDEO: Show ya Alikiba aliyoifanya Durban South Africa usiku kuamkia leo

on

Mwimbaji wa bongofleva Alikiba yupo nchini South Africa kwa ajili ya Tour yake kuitendea haki mialiko mbalimbali ya kutoa burudani kwenye area mbalimbali za Nchi hiyo ikiwemo Cape Town, Durban na Johannesburg ambapo hii ni ya Durban.

Tazama hii video hapa chini kujionea ilivyokua

VIDEO: Mahojiano na Alikiba South Africa “Nimepata amani ya moyo sababu sipendi malalamiko” TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA CHINI

VIDEO: Alikiba alivyohojiwa na Radio Vow FM ya South Africa, bonyeza play hapa chini kujionea

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments