Habari za Mastaa

VIDEO: Alikiba ametoa majibu ya SHEREHE yake kwa lafudhi ya kijaluo

on

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amechukua headlines kupitia short video clips katika mtandao wa instagram baada ya kuoneka akizungumza lafudhi ya Kijaluo na wengi kujiuliza je Ali Kiba ataoa upande wa Kenya kutokana na tetesi zinazoendelea mitandaoni kuwa Ali Kiba anakaribia kuoa?

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akiongea

Onyo alilotoa January Makamba kwa Mastaa wa Bongo

Soma na hizi

Tupia Comments