Habari za Mastaa

Kipya Kutoka Cloud 9 ya Clouds Tv mpaka Club Bilicanas Jumapili ya Mei 18.

on

IMG-20140515-WA0000

Sehemu nyingine ya kuparty weekend hii ni Club Bilicanas ambapo Cloud 9 ya Clouds Tv wameandaa hii party kwa ajili yako ambayo itasindikizwa na wasanii kibao akiwemo G Nako,Godzilla,Young Killer,Young D pia kutakua na kitu maalum kitakachotolewa na Mwana Fa ‘Mfalme’.

Host atakua ni Adam Mchomvu na Dj wa siku hiyo atakua wote  kutoka Xxl ya Clouds Fm.

 

Tupia Comments