Habari za Mastaa

Huu ndiyo wimbo mpya wa Mangwea uliotoka leo February 14.

By

on

4b4d66fe954b11e3960112f844e5466b_8Huu ni wimbo uliopata baraka ya Mama mzazi wa Mangwea kwa kuitambulisha rasmi leo February 14 kwenye XXL ya Clouds Fm,miongoni mwa vitu alivyovizungumza mama wa mangwea kwenye interview yake ni namna ya kupata nyimbo zingine ambazo alizifanya mwanae enzi ya uhai wake.

Wimbo huu unaitwa Alma ni kifupi cha neno Albert Mangwea na jina la wimbo huu alilitoa Mangwea enzi ya uhai wake,Mbali na mama yake mzazi wimbo huu pia umepata baraka kutoka kwa mtu aliyekua akimsimamia kazi zake enzi ya uhai wake Muro Junior.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments