Michezo

Alvaro Morata arejea Juventus ya Italia

on

Mshambuliaji wa Atletico Madrid ya Hispania Alvaro Morata ,27, amejiunga na club ya Juventus ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu.

Morata aliwahi kucheza Juventus (2014-2016) na baadae kujiunga na Real Madrid ya kwao Hispania, kisha 2017 kujiunga na Chelsea alikodumu kwa miaka mitatu tu kisha kurejea Atletico.

Soma na hizi

Tupia Comments