Habari za Mastaa

List ya wasanii watakao perfom kwenye tuzo za AMAs 2016

on

Katika list ya tuzo kubwa zinazotolewa kwa wanamuziki duniani huwezi kuacha kutaja American Music Awards ambazo hutolewa kila mwaka kwa mastaa wakubwa wa muziki Marekani, tukio hilo ambalo lipo kwenye maandalizi sasa hivi na tuzo hizo kutolewa usiku wa Nov 20 2016 ambazo zitaonyeshwa live  kwenye kituo cha  ABC.

Na tayari list imetoka ya wasanii wa marekani watakaotoa burudani kwenye jukwaa la usiku wa tuzo hizo za AMAs 2016 ambapo watakuwepo wasanii hawa…

the-weekend-pic

The Weekend

john-legend-chime-for-change-1370130257-article-0

John Legend

rs_600x600-161103093953-600-ariana-grande-nicki-minaj-fb-110316

Ariana Grande & Nick Minaj

maxresdefault

Shawn Mendes

James Bay looking relaxed and happy with his guitar

James Bay

cvv_azlukaetw7p

Fifthy Harmony

lady-gaga-performance-mirrors-billboard-650

Lady Gaga

0f294d5ebb6cca8d6d543eed97fc9670

Bruno Mars

twenty-one-pilots-final

Twenty one Pilots

6_green_day

Green Day

chainsmokers-halsey

Chainsmokers & Halsey

 Drake ndio msanii mpaka sasahivi anayeongoza kwa kuchaguliwa kwenye vipengele 13  vya kuwania tuzo hizo akifuatiwa na Rihanna aliyeko kwenye vipengele 7, tuzo zitarushwa live ABC , Nov 20 2016 saa mbili usiku.

ULIPITWA? HII PERFOMANCE YA CHRISS BROWN KWENYE STAGE ZA MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL, UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments