Video Mpya

Amber Lulu ametuletea hii video mpya akiwa na mzazi mwenzake

on

NI Headlines za mrembo Amber Lulu ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake aliyomshirikisha mzazi mwenzake aitwawe Emba Botion, unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili wawili hao wakipitia wasome mlichokiandika.

 

BIRTHDAY YA JOSEPH KUSAGA ATINGA CLOUDS NA FAMILIA YAKE, AOMBA WIMBO WA MBOSSO “NAUPENDA SANA”

Tupia Comments