Mix

MPYA: Kingine kilichonifikia kutoka kwa Binadam mzee zaidi Tanzania…

on

May 2, 2017 niliripoti kuhusu stori ya Binadamu anayetajwa kuwa na umri mkubwa zaidi Tanzania ambaye inasadikika alizaliwa mwaka 1890 akijulikana kwa jina la Ambilikile Panja anayeishi Wilaya ya Mbozi katika Mkoa mpya wa Songwe…

Sasa good news ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa amemkabidhi mzee huyo Wheel Chair pamoja na Bima za Afya yeye na mke wake.

ULIIKOSA HII? Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania…BONYEZA PLAY!

Kutoka Gabon, Nahodha Serengeti Boys kaondolewa kwenye orodha…

VIDEO: Aliyesali kwa sauti ili gari lake lisisombwe na maji AFUNGUKA….. bonyeza play hapa chini kumtazama…

Soma na hizi

Tupia Comments