Habari za Mastaa

VideoMPYA: Staa gospel Ben William ametuletea ‘Imela’ karibu uitazame

on

November 5, 2019 Ben William ni Muimbaji wa Gospel kutokea Jijini Mwanza na anafanya vizuri nyimbo zake mbalimbali ambapo ana style ya kupekee ya uimbaji, leo ametuletea video ya wimbo wake mpya inaitwa ‘Imela’

Wimbo wa ‘Imela’ umerekodiwa katika Studio za Apex Music zilizopo Mwanza na video imeongozwa na Director King Sabe.

GUMZO GARI ANAYOTUMIA PROF. ASSAD AKIMUENDESHA MKEWE

Soma na hizi

Tupia Comments