Habari za Mastaa

Pichaz Mastaa walivyoipendezesha Birthday party ya Mose Iyobo dancer wa Diamond Platnumz..

on

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.12 AM

Sherehe za Birthday nazo zina uzito wake siku hizi, unaambiwa dancer mkali Mose Iyobo ambaye ni mmoja wa dancers wa Diamond Platnumz alifanya party yake August 02 2015, wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.

Aunty Ezekiel ni mzazi mwenzake na Mose Iyobo, kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kushereheka party hiyo… kwenye list ya mastaa waliotokea alikuwepo pia Diamond Platnumz na crew nzima ya WCB wakatoa na burudani ya nguvu kabisa.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.22 AM

Hapa ni Aunty Ezekiel, Mose Iyobo na Diamond Platnumz.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.30 AM

Diamond Platnumz na Maimartha 

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.39 AM

Diamond anapiga chabo hiyo keki inavyoliwa yani !!

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.50 AM

Martin Kadinda na Mose kwenye keki.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.59 AM

Shamsa Ford

Screen Shot 2015-08-03 at 8.05.08 AM

Mwigizaji JB.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.05.17 AM

Diamond Platnumz nae akapita kwenye keki.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.05.32 AM

TID akimpongeza Mose Iyobo.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.05.42 AM

Hii ndio time ambayo kila mtu alisimama kucheza sankoro.

Screen Shot 2015-08-03 at 8.05.54 AM

Screen Shot 2015-08-03 at 8.06.15 AM

Birthday Boy hakupishana na maji aisee !!

Screen Shot 2015-08-03 at 8.06.25 AM

Screen Shot 2015-08-03 at 8.12.10 AM

Screen Shot 2015-08-03 at 8.12.32 AM

Screen Shot 2015-08-03 at 8.12.50 AM

 

 

Tupia Comments