Amplifaya Top10

Story zote 10 zilizosikika kwenye AMPLIFAYA leo APRIL 15 2015 unaweza kuzicheki hapa..

on

top-ten

Tayari countdown ya story kubwa zote za siku ya leo imekamilika.. ulipitwa na #AMPLIFAYA mtu wangu? Hapa nina hizi story zote kubwa kwa ajili yako, unaweza kuzisoma zote kuanzia #10 mpaka #1.

#Damdam milele.. tukutane kesho kuzihesabu pamoja #AMPLIFAYANI mtu wangu kuanzia saa 1 jioni @CloudsFM.

 millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye FacebookTwitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments