Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu ikihusika na utoaji wa habari kumi muhimu za siku, stori kubwa za kwenye internet pamoja na good music… ambapo host wa show ni mtu wako wa nguvu, Mr Countdown Millard Ayo.
#AMPLIFAYA #Aug11 #10 Baada ya kutofautiana na Van Gaal, Victor Valdes kasema kocha anaemuelewa ni Perp Guardiola, anajua kuishi na watu.
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug112015 #9 Mkwasa amewaita wachezaji wapya 10 Taifa Stars kujaza nafasi za wale wa Yanga na Azam FC waliogoma kutokea. — millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug11 #8 Gazeti la New Times Rwanda linasema kati ya watu milioni mbili ni watu kumi tu waliopinga Kagame kuongezewa muhula wa 3
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA Aug11 #7 Baba na mama wafariki kwa joto kali Jangwani NewMexico U.S.A, waliamua wafe lkn mtoto wao(5yrs) apone kwa kumpa maji yao — millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug11 #6 Kocha wa Man City anaimani Yaya atafanya vizuri msimu huu na hafikirii kama anastahili kupata lawama za msimu uliopita
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug11 #5 Mwigizaji Frank wa longtime kuanzia maigizo ITV ameshinda kura za maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Segerea DSM. — millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA Aug11 #4 MissTZ 2012 Brigitte Alfred >>> ‘Ninavyojua Miss TZ huwezi kudanganya, sikujua hata kama kuna hizo nafasi za kudanganya’
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug11 #3 Juma Kaseja kasema ‘Makipa wengi wazuri waliofanikiwa ndani ya Simba huwa hawamalizi vizuri ndani ya Simba’ — millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug11 #2 Mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekutwa na misokoto ya Bangi Kenya amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja na miezi sita.
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015
#AMPLIFAYA #Aug112015 #1 Mbowe: ‘Nimeagizwa kupumzika kwa saa 48, nililazimika kupelekwa Hosp jana baada ya kupata kizunguzungu kikubwa’
— millard ayo (@millardayo) August 11, 2015