Habari za Mastaa

Movie kali za Bongo zilizoingia kwenye Tuzo za AMVCA 2016, ya Lulu nayo ndani..

on

Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa headlines nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tuzo kadhaa za muziki zikiletwa TZ na mastaa wetu kutoka nje ya mipaka, basi nikusogezee na hii list ya mastaa ambao wamefanikiwa kuwa sehemu ya walioingia kwenye category za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs).

Kwenye list ya Watanzania wako na hawa:

1: Staford Kihore (Movie ya Mpango Mbaya)

2: Josephat Lukaza (Movie ya Kitendawili)

3: Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Movie ya Mapenzi ya MUNGU)

4: Amil Shivji (Movie ya Samaki Mchangani)

TUZO

List ya washiriki wote hii hapa mtu wangu, na Watanzania wetu wote ndani.

NOMINEES II NOMINEES III NOMINEES IV NOMINEES IX NOMINEES V NOMINEES VI NOMINEES VII NOMINEES VIII NOMINEES X NOMINEES XI NOMINEES XII NOMINEES XIII NOMINEES XIV NOMINEES XV

Unaweza kuingia kwenye link hii kwa ajili ya kupiga kura >>> amvca2016

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments