Video Mpya

VideoMpya: Baada ya ‘Wowowo’ Zaiid amekuja na nyingine inaitwa ‘Picha’

on

Msanii Zaidi aliyetamba na wimbo wa ‘Wowowo’ amerudi tena na time hii amekuja na wimbo mpya unaitwa ‘Picha’ wimbo ambao video yake imeshatoka tayari karibu kuitazama kupitia millardayo.com kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

Uwoya kafunguka tusiyoyajua “Nimepiga picha na Mama Mkwe, Dogo Janja nimemzidi vingi”

Daah!! unaambiwa ni gari ya 1986 ila thamani haishuki siku hadi siku

Soma na hizi

Tupia Comments