Top Stories

JPM asitisha usajili wa meli mpya

on

January 19, 2018 President Dr. John Pombe Magufuli amewaagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume kusitisha usajili wa meli mpya nchini mpaka itakapotangazwa vinginevyo.

President JPM amesema maagizo yote yaliyotolewa na Makamu wa Rais Samia Suluhu kuhusiana na meli hizo yatekelezwe.

GARI YA FFU IMEPINDUKA KUTOKANA NA MWENDOKASI IMEUA  ASKARI 2, KAMANDA MPINGA  AMEONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments