Videos

VideoMPYA: Ladies&Gentlemen Mwimbaji Angel Benard katuletea ‘Siteketei’

on

Miongoni mwa video mpya zilizonifikia siku ya leo ni pamoja na Siteketei ya  mwimbaji wa Injili  Angel Benard ambaye ni moja kati ya waimbaji wa injili wanaoiwakilisha vyema Tanzania kimataifa kwenye upande wa gospel.

Unaweza kuchukua dakika 3:56 kuitazama hapa na pia kuniandikia maoni  yako juu ya hii ili Angel akisoma ayajue maoni yako mtu wangu>>>

Video: RayVanny ameongea kuhusu Zari kutompost mitandaoni>>>

Soma na hizi

Tupia Comments