Michezo

Angalia namna Messi alivyomfikia Ronaldo kwa rekodi ya magoli ulaya

on

1413919429924_wps_6_epa04456769_Jasper_Cilles

 

FC Barcelona jana iliichakaza Ajax FC ya Uholanzi kwa kipigo cha magoli 3-1.

Lionel Messi alimfikia Cristiano Ronaldo kwa jumla ya magoli kwenye michuano ya ulaya, baada ya kufunga goli ambalo limemfanya atimize magoli 69. Neymar na Sandro Ramirez akafunga la 3.

Angalia magoli yote hapa chini:

Barcelona vs Ajax 3-1 All Goals & Highlights… by Kilokili

Tupia Comments