Habari za Mastaa

Post ya Aunt Ezekiel kuhusu homa ya Dengue.

on

anti1Kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unamiliki headlines sasa hivi Tanzania hasahasa Dar es salaam imesababisha baadhi ya watu wakiwemo mastaakubadilisha hata aina ya mavazi kama ilivyoshauriwa ili kukwepa Mbu wanaoeneza ugonjwa wenyewe hata mchana.

ezekielKutoka kiwanda cha filamu Bongo mastaa wa filamu Tanzania Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepost picha leo wakionekana kuwa na dawa aina ya Panadol kama kinga ya ugonjwa huo baada ya kupata dalili za maumivu ya kichwa.

Chini ya picha hii aliyopost Anty Ezekiel aliandika ‘Dengue hili haya twende kazi Panadol time’

Unataka kuwa unatumiwa kila ripoti na mtu wako wa nguvu? jiunge na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA pia Instagram na facebook kwa kubonyeza HAPA na FB

Tupia Comments