Top Stories

Apata ulemavu kwa ushirikina “anaua kichawi apate hela, Mama alifariki” (+video)

on

Kutana Ibrahim Magozi maarufu kwa jina la Bura (26) mkazi wa Isevya Tabora mwaka 2009 alikutana na Mama mfanyabiashara na kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu Mama yule alipenda kumpatia kazi ndogondogo na kumlipa pesa, bila ya kufahamu Ibrahimu ajikuta anataka kutumiwa na mama yule katika imani za kishirikina na kuishia kupata ulemavu uliopelekekea kupoteza usikivu, vidole vya mkono kujikunja na kupoteza uwezo wa kutembea.

“CHINA NA MAREKANI WAITAKA NYUNGU YA CORONA YA KIMARA, WAMEPONA WATU”

Soma na hizi

Tupia Comments