AyoTV

VIDEO: Tazama ujenzi wa Double Road ya Arusha- Voi Kenya kwa camera ya juu

on

Kwenye hii video utajionea kwa juu ujenzi wa barabara ya Arusha -Holili/Taveta hadi Voi Kenya na kama kumbukumbu ziko vizuri utakumbuka kwamba Rais Magufuli na Rais Kenyatta wa Kenya waliweka baraka zao kwenye ujenzi wa barabara hii March 2016, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kujionea

ULIPITWA? Rais Magufuli alivyoweka baraka zake kwenye ujenzi wa barabara ya Arusha kupita Holili Kilimanjaro mpaka Voi Kenya? bonyeza play hapa chini kumsikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments