BreakingNews

BREAKING: Polisi Arusha wathibitisha ni zaidi ya 30 wamefariki ajali ya leo

on

Leo May 6, 2017 kulianza kusambaa taarifa za ajali na picha zikionesha Basi dogo lililobeba Wanafunzi limepata ajali kwenye eneo la Mlima Rhotia, Karatu Arusha ambapo haikuwa imejulikana idadi kamili ya waliopoteza maisha.

millardayo.com na AyoTV zimempata Kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumbo ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema idadi ya waliofariki ni 32 akiwemo Dereva kwenye kundi la watu wazima watatu, Wavulana ni 12 na Wasichana ni 17.

Unaweza kumsikiliza Kamanda kwa kubonyeza play hapa chini…

VIDEO: Ulipitwa na Magazeti ya leo May 6? nimekuwekea hapa bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments