AyoTV

VIDEO: Wizara ya Ardhi imeomba kutengewa kiasi cha Bilion 61 kama bajeti yake ijayo

on

May 21 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi Shilingi 61,873,949,000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hotuba iliyowasilishwa na Waziri wake William Lukuvi.

ULIIKOSA HII? HII NDIO VIDEO YA ALIYEKUWA WAZIRI KITWANGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI NA KUDAIWA ALILEWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments