Top Stories

Kesi ya Mbowe na Viongozi wengine wa Upinzania yanguruma Mahakama Afrika Mashariki (+picha)

on

Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki imeanza kusikiliza kesi namba 2/2019, ya kupinga Sheria ya Vyama vya Siasa iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe pamoja na Viongozi wengine wa Vyama vya Upinzani.

Washtaki wanaomba matumizi ya sheria Na.1 ya 2019 ya Vyama vya Siasa isimamishwe, mpaka kesi ya msingi Na.3/2019 itakaposikilizwa.

INJINIA AMEJINYONGA KWA SURUALI, KAMANDA KAONGEA “MAREHEMU ALIOMBA RUSHWA”

Soma na hizi

Tupia Comments