Michezo

Aristica Cioaba ang’ara VPL

on

Kocha wa Azam FC Aristica Cioaba raia wa Romania amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Tanzania bara  (VPL) kwa mwezi January akiwashinda Sven Vanderbroeck wa Simba SC na Malale Hamsini wa Club ya Polisi Tanzania.

Wakati huo huo mshabuliaji wa KMC Sadallah Lipangile ndio ameshinda wa tuzo ya mchezaji bora wa VPL wa mwezi January huku akiwashinda wachezaji Nicholas Wadada wa Azam FC na Hassan Dilunga wa Simba SC.

Ndani ya mwezi January Lipangile amefanikiwa kufunga magoli 4 ndani ya mechi, game dhidi ya Singida United na game dhidi ya Mtibwa Sugar.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments