Habari za Mastaa

Aristote amuomba msamaha Wema kwa kauli yake iliyomkwaza ‘Sikutegemea’ (video+)

on

Ni Mjasiriamali na Mwana mitandao, Aristote ambae time hii ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kusambaa kwa video ikimuonesha ikimdhihaki Wema Sepetu.

Sasa Aristote amejitokeza na kumuomba msamaha Wema  kwa kile alichozungumza, unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichosema.

WEMA SEPETU ALIA KWA MANENO YA ARISTOTE “SINA HELA, NIMEFULIA, NIACHENI JAMANI”

Soma na hizi

Tupia Comments