Top Stories

Dereva aweka wazi Bibi alivyozuia pikipiki na gari kuwaka na kushindwa kuondoka stand (+video)

on

Leo March 26, 2019 Baada ya jana kuwepo kwa taarifa kutoka Mkoani Arusha juu ya Bibi ambaye alizuia gari pamoja na pikipiki mbili kuondoka kwa muda katika Kituo cha basi nakuzua mjadala.

Leo AyoTV imempata Joshua Yasini ambaye pikipiki yake iligoma kuwaka baada ya kupishana kauli na Bibi huyo ambapo anasema pamoja na pikipiki hiyo kuwaka baadae hadi sasa hivi wanamdai Bibi huyo shilingi elfu kumi.

DEREVA ASAFIRISHA MATOFALI KWENYE AMBULANCE, NAIBU SPIKA ATOA AGIZO

 

Soma na hizi

Tupia Comments