Habari za Mastaa

Quick Racka baada ya TID kudai 20m kwa kutumia wimbo wake…(Audio)

on

Siku moja imepita tangu Quick Rocka na kundi la OMG waachie video ya wimbo Watasema June 24, 2017 huku staa mwingine wa Bongofleva TID akidai wametumia melody na maneno ya wimbo wake Watasema Sana bila ridhaa yake na kudai alipwe.

Sasa leo June 25, 2017 kwenye Top 20 ya Clouds FM, Quick Rocka amefunguka akielezea kilichotokea na mipango iliyopo kuzungumza na TID ili kulimaliza tatizo hilo.

Msikilize hapa kwa kubonyeza Play!!!

ULIPITWA: Kauli ya TID baada ya Quick Rocka na OMG kutumia Chorus yake bila ruhusa

Soma na hizi

Tupia Comments