Michezo

Dau la Arsenal kwa kiungo huyu wa Real Madrid!!

on

iscoArsenal imeanza mikakati yake ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya England na safari hii imeanza mbinu zake za kutaka kunasa saini ya kiungo wa Real Madrid.

Meneja wa klabu hiyo Arsenal Wenger amemtengea kiungo Isco Roman kiasi cha pauni milioni 35 ili aweze kuhamia ndani ya klabu hiyo.

Arsenal ambayo imetinga hatua ya fainali michuano ya FA itakutana na Aston Villa katika uwanja wa Wimbley, London pia imepanga kuwasajili nyota wengine msimu ujao.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments