Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Yasikupite matokeo ya Arsenal vs Hull City

on

TEOOOOOLigi kuu ya England inakaribia kufikia tamati na jana Arsenal imeaonyesha nia ya kutaka kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi tatu za juu baada ya jana kucheza na Hull City.

act

Katika mchezo huo  ambao Arsenal walionekana kuwadhibiti vyema wapinzani wao waliibuka na ushindi wa mabao 3-1, mabao ambayo yalifungwa na Alexis Sanchez amefunga mabao mawili, huku Aaron Ramsey akapachika moja na kuisaidia Arsenal kuibuka na ushindi  huo dhidi ya wapinzani wao Hull City.

teo

Kwa ushindi huo, Arsenal imeendelea kubaki katika nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 70 sawa na Man City katika nafasi ya pili na imebakiwa na mchezo mmoja mkononi.

dog

Mbwa akiwa amevalishwa jezi ya Hull City

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments