Michezo

Arsenal yaishia 32 bora Europa League

on

Club ya Arsenal ya England imeondolewa katika michuano ya Europa League kwa kufungwa 2-1 nyumbani kwao dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki katika uwanja wa Emirates game hiyo ikienda dakika 120.

Hivyo baada ya Olympiacos upata goli la ushindi dakika ya 120, ikafanya mchezo umalizike 2-1 na matokeo ya jumla (aggregate) ikawa 2-2, Arsenal akaondolewa katika michuano hiyo kwa kuruhusu kufungwa magoli mengi nyumbani.

 

Soma na hizi

Tupia Comments