Michezo

Video: Angalia magoli ya Arsenal vs Anderlecht

on

1414010703204_Image_galleryImage_Arsenal_s_Polish_born_Ger

 

Baada ya kutoka sare na Hull City jumamosi iliyopita kwenye ligi kuu ya England – Arsene Wenger jana alisafiri na vijana wake mpaka Belgium kwenda kupambana na Anderlecht.

Matokeo ya mchezo ni ushindi wa 2-1 kwa Arsenal, Lukas Podolski na Gibbs wakiifungia Gunners magoli ya ushindi.

 

Anderlecht vs Arsenal (1-2) Full Highlights 22… by rubin7190

Tupia Comments