Michezo

EPL London Derby: Arsenal vs Tottenham – matokeo haya hapa

on

article-2772055-21B7B7E300000578-576_636x444Baada ya mchana wa leo kuhushudia ‘MersesydeDerby’ kati ya Liverpool dhidi ya Everton, muda mfupi uliopita huko London ya kaskazini mahsimu wengine wa EPL, Arsenal na Tottenham Hotspur walikuwa dimbani kushindania ufalme wa jiji hilo – North London Derby.

Mchezo huo uliokuwa mgumu na kasi kwa timu zote mbili umemalizika hivi punde katika uwanja wa Emirates na kuisha kwa matokeo ya sare ya 1-1.

Spurs walitangulia kufunga goli la kuongoza katika dakika ya 56 mfungaji akiwa Chadli, lakini mabadiliko ya Arsenal ya kumuingiza Alexis Sanchez yalichochea timu hiyo kupata goli la kusawazisha kupitia Chamberlain katika dakika ya 74.

Timu Zilipangwa kama ifuatavyo

Arsenal: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta (Flamini 28), Oxlade-Chamberlain, Ramsey (Cazorla 45), Wilshere (Sanchez 63), Ozil, Welbeck.

Subs Not Used: Rosicky, Podolski, Ospina, Coquelin.

Booked: Oxlade-Chamberlain, Wilshere, Chambers.

Goals: Oxlade-Chamberlain 74.

Tottenham Hotspur: Lloris, Naughton, Kaboul, Vertonghen, Rose (Dier 83), Mason, Capoue, Lamela, Eriksen (Lennon 62), Chadli (Bentaleb 80), Adebayor.

Subs Not Used: Soldado, Vorm, Townsend, Fazio.

Booked: Lamela, Chadli, Adebayor, Lennon, Mason, Rose.

Goals: Chadli 56.

Att: 59,900

Ref: Michael Oliver (Northumberland).

 

Tupia Comments