AyoTV

VIDEO: Tupatupa, B Dozen na Madee baada ya kusikia Wenger kaongeza mkataba Arsenal

on

Jumatano ya May 31 2017 uongozi wa Arsenal ulitangaza rasmi hatma ya kocha Arsene Wenger ambaye awali alikuwa akihusishwa na presha za mashabiki kuwa ataondoka kutokana na mashabiki kushinikiza afukuzwe kwa sababu timu haifanyi vizuri.

Uongozi wa timu hiyo May 31 ulitangaza maamuzi ya kumuongezea mkataba wa miaka miwili kitendo ambacho kiliwashtua wengi kutokana na kiwango kisichoridhisha kilichooneshwa na Arsenal msimu huu kiasi cha kukosa nafasi ya kushiriki Champions League.

AyoTV baada ya kusikia Wenger kaongeza mkataba imeongea na baadhi ya mashabiki wa Arsenal B Dozen ambaye ni mtangazaji wa Clouds FMJames Tupatupa ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM/TV pamoja na msanii wa Bongofleva Madee ambao ni mashabiki wa Arsenal.

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments