Michezo

Alichosema Sir Alex Ferguson kuhusu Wenger kutimiza mechi 1000 na Arsenal

on

article-2586457-1C778B5800000578-687_634x395Kocha Arsene Wenger kesho atatimiza jumla ya michezo 1000 tangu aanze kuifundisha klabu ya Arsenal mwaka 1996 ambapo katika kusherehekea rekodi hiyo makocha wenzake akiwemo Sir Alex Ferguson wemeongelea kuhusu Wenger kutimiza hizo mechi.

Harry Redknapp, Manuel Pellegrini na Ole Soskjaer pia nao wamezungumza, kuona walichokisema tazama hii video hapa chini mtu wangu.

Tupia Comments