October 27, 2016 Jiji la Arusha ni kati ya maeneo ambayo yanatajwa kuwavutia watu wengi kutokana na mpangilio wa jiji hilo pamoja na kutokuwepo kwa foleni kubwa za magari kama ilivyo kwa majiji mengine. Nakusogezea picha 14 za muonekano wa Jiji la Arusha nyakati za usiku
ULIKOSA HII VIDEO ALICHOPOSTI NAY WA MITEGO KUHUSU WEMA SEPETU NA MILION 500 ZA IDRISSA SULTAN,? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.