Video Mpya

VideoMPYA: Itazame hapa video mpya ya Moni Centrozone ‘Lamoto’

on

Hatimaye mkali Moni Centrozone kaiachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Lamoto’ video ya wimbo huo imetayarishwa na producer Nicklass huku Audio ikiwa imetayarishwa na S2kizzy. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video.

 

GIGY MONEY KAJIPELEKA BASATA, KAELEZEA SABABU

Soma na hizi

Tupia Comments