Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ‘Siri’ Vanessa & Barnaba wamekuja na ‘Chausiku’

on

Karibu millardayo.com kuutazama wimbo mpya kutoka kwa waimbaji wa Bongofleva ambao ni Barnaba Boy na Vanessa Mdee ikiwa ni baada ya wimbo wao walioufanya awali uliokuwa unaitwa ‘Siri’. Sasa Time hii wamekuja na huu unaitwa ‘Chausiku’.

Bonyeza PLAY hapa chini kuutazama..

Benson aliyeimba ‘HAUZIMI’ kutoka uhudumu wa Bar mpaka malengo haya

“Gigy Money is not my Type, siwezi kuwa na tatizo na mtu ambaye yupo chini yangu”

Soma na hizi

Tupia Comments