Top Stories

Vigezo ambavyo lazima uwe navyo ili uwe muhudumu wa Ndege

on

 Moja ya suala ambalo limekuwa liki-trend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha inayomuonesha muhudumu wa ndege za Shirika la Ndege la ATCL ambapo yaliibuka mambo mengi kuhusu muonekano wake huku watu wakilinganisha na muonekano wa wahudumu wa ndege nyingine.

Licha ya watu wengi kuhusisha muonekano na umri wa muhudumu huyo Ayo TV na millardayo.com ikaona ni vyema kufahamu vigezo vinavyohitajika kwa mtu anayetaka kuwa muhudumu wa ndege ndipo ikampata mwanadada Happy ambaye amehudumu kwenye ndege kwa zaidi ya miaka 10.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza HAPPY akielezea vigezo anavyotakiwa kuwa navyo muhudumu wa ndege.

Ice Boy kafunguka sababu ya kushindwa kuendelea kufanya kazi na Barnaba

Soma na hizi

Tupia Comments