Video Mpya

Aslay yuko namba 6 na hii video yake mpya “hauna”

on

Aslay ameamua kuziachia tu bila kutangaza tusubirie au kuweka mbwembwe nyingi ambapo ametuletea hii nyingine inaitwa “Hauna”  ambayo kwa sasa imeshika namba 6 kwenye Top 10 ya zinazo-trend Youtube.

VIDEO: “Sijatoa Mimba, Diamond Platnumz namkubali tu” – Tunda

VIDEO: EXCLUSIVE Aslay katuonyesha gari lake jipa (BMW)

Soma na hizi

Tupia Comments